Kitabu Cha Akili Ya Diamond Kinazidi Kupamba Moto, Jionee Mwenyewe Hapa


 

https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond
Unaweza kupata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA


Habari ya siku ya leo rafiki yangu.hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana kwenye makala yetu ya siku ya siku leo ambapo tunaenda kuona jinsi kitabu cha Akili Ya Diamond kinavyozidi kupamba moto.

 

Kitabu hiki cha Akili Ya Diamond ni kitabu cha kipekee ambacho kimesheheni vitu vikubwa kuhusu KIPAJI. UBUNIFU NA MAFANIKIO.

Kama mwaka huu ungependa kujifunza kuhusu kipaji, ubunifu na kipaji, basi kitabu kimoja na cha kipekee ambacho utapaswa kusoma ni kitabu cha Akili Ya Diamond. Unaweza kudhania kuwa mimi hapa nakudanyanga ila ngoja nikuoneshe ukweli huu kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa kitabu hiki hapa ambaye amekisoma kitabu hiki na kukielewa haswa.

Ebu msikilize huyu hapa

Nashukuru sana mwanamafanikio. Kitabu hiki cha Akili ya Diamond ni

kizuri  na kinatoa hamasa sana ya kupiga hatua na kufanikiwa sana.

Changamoto niliyonayo ni kwamba nimeshaamua nataka kuwa mjasiriamali

mkubwa mwenye kumiliki fedha nyingi kupitia biashara na uwekezaji.

Kwenye kuwekeza sina shida sana. Ninafahamu portfolio mbalimbali za

kuwekeza kuanzia UTT, hatifungani, ardhi na majengo pamoja na hisa.

Changamoto yangu ni biashara gani nijikite humo kikwelikweli kama

Diamond ili niweze kusonga mbele kama mjasiamalim na mwekezaji???

Ahsante sana

Mwanamafanikio

Felix M

Rafiki yangu, huyo ni msomaji wa kitabu hiki hapa cha kipekee sana. najua wewe ukikisoma na wewe kitabadili mambo mengi kuhusu maisha yako. Jipatie nakala yako leo hii kwa kubonyeza HAPA

Kuna kitu kimoja cha uhakika kuhusu hiki kitbu. Unaweza kujipatia nakala yako sasa, ila kama utaona kwamba nakala hii hujaipenda au umesoma na ndani yake ukawa hujapata kile nilichokwambia basi kitu kimoja ni uhakika. Na kitu hiki ni kuwa nitakuwa tayari kukurudishia fedha yako yote pamoja na kukuachia nakala ya kitabu hicho. kwa hiyo hapo ulipo hauna kitu chochote kile cha kupoteza. Yaani, fedha yako iko salama kwa asilimia 100 kabisa.

 umekuwa nami rafiki anayejali mafanikio yako

Godius Rweyongeza

0755848391

nakala ya kitabu hiki hapa ni shilingi elfu 6 tu. Jipatie nakala yako sasa kwa KUBONYEZA HAPA



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X