![]() |
Add caption |
Ndio! Wala hakuna mtu ambaye amewahi kuwa na wazo bora.
Naona sasa unaanza kusema; “acha uongo kwani wazo la kuanzisha _search engine_ ya Google si lilikuwa bora?
Na Mimi nakwambia halikuwa wazo bora? Wazo huwa linakuwa bora linapofanyiwa kazi.
Facebook halikuwa wazo Bora, Ila lilifanyiwa kazi na kuwa bora.
Coca-Cola halikuwa wazo bora Ila lilifanyiwa kazi na kuwa bora.
Na wewe nakuhakikishia kuwa kama wazo lako hilo hutalifanyia kazi, utaenda nalo kaburini. Hata kama unaona ni wazo bora.
Lifanyie kazi wazo lako leo hii, ili liwe bora!
Kila la kheri!
Jipatie nakala ya tofauti 50 kati ya matajiri na masikini kwa elfu 5 tu. BONYEZA HAPA
Anza kuishi kitajiri kwa kuzijua tabia za kitajiri
Godius Rweyongeza
Morogoro
Hakikisha unaSUBSCRIBE kwenye channel yangu kwa KUBONYEZA HAPA
0755848391