ONE TIME OFFER: Pata vitabu vyangu 12 kwa kulipia kitabu kimoja tu


 

 

Kuna matukio ambayo huwa yanajitokeza kwenye hii dunia, ambayo huwa yanajulikana kama one time event. Yaani, kwamba likitokea ndio limetokea huwa halijirudii tena. Mfano wa tukio la aina hiyo hapo ni kuteswa, kufa kufufuka mpaka kupaa kwa Yesu Kristu kama ilivyoelezwa kwenye Biblia. Tukio la aina hiyo hapo ni one time event maana kabla ya hapo halikuwahi kutokea na wala baada ya hapo halijawahi kutokea tena.

Yapo matukio mengine ambayo kwa leo sitayajadili kwa kina sana. Najaribu tu kufikiri kuwa uwepo wako hapa duniani pia ni one time event. Maana sio kitu ambacho kinajirudia. Ingekuwa kwamba sasa hivi unafanya majaribio ya kuishi, baadae utarudi kuishi basi nisingesema kwamba kuishi kwako duniani ni one time event. Ila ukweli ni kuwa ukiishi ndio umeishi. Uwe umefanya makubwa au hujafanya makubwa, hhayo yote ni juu yako.

Sasa leo hii unaposoma hapa, nimeona nikupe ofa ya aina hiyo. Ofa ambayo inajitokeza mara moja tu maishani, na baada ya hapo hutakuja kuipata tena. Kiufupi ni kuwa haijawahi kutokea na hitatokea tena baada ya hapa.

Je, ofa hii ni ipi? Ofa hii ni ya kupata vitabu vyangu vyote kwa elfu 40 tu. vitabu hivi ambavyo kwa pamoja vingekugharimu zaidi laki moja. nimeona nikupe ofa hii tunavyouanza mwezi huu mpya wa tisa. Na ukweli ni kuwa zawadi ya aina hii haitajirudia tena. Na wala hutakuja kupata vitabu hivi kwa bei hii hii.

Vutabu ambavyo utapata endapo utachukua hatua leo hii ni pamoja na

 

1. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (Kitabu Cha Kwanza)

2. NYUMA YA USHINDI; Kuna kushindwa, kushindwa, kushindwa.

3. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA

4. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO

5. MAAJABU YA KUSOMA VITABU (Toleo la pili)

6. MAAJABU YA KUWEKA AKIBA

7 BARUA YA WAZI KWA WAZAZI NA WALEZI WA WATOTO

8. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (kitabu cha pili)

9. Akili ya Diamond

10. Tofauti 50 Kati Ya Matajiri Na Masikini

11. Makosa 10 Wanayofanya Wakulima Na Jinsi Ya Kuyaepuka Ili Ku Tengeneza Fedha Zaidi

 

 

Vitabu vyote hapo juu vina thamani ya zaidi ya laki moja (100,000) hata hivyo,kwa leo nimeamua kukupa hii ofa ya kipekee. Na utapata vitabu hivi vyote kwa shilingi elfu arobaini (40,000) tu.

 

Na hii haiishii hapo tu. utaongezewa nakala ngumu ya kitabu cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni ambacho kitatumwa mpaka ulipo kwa gaharama zako mwenyewe.

 

Karibu ujipatie # coupon maalumu ya kununua vitabu hivi. Nitumie ujumbe mfupi sasa kwenda 0755848391.

Mwisho wa coupon hizi ni tarehe 03 jioni. Ukipewa coupon ya kununua vitabu hakikisha unaitumia ndani ya muda huo.

 

Nakala ngumu itatumwa kwako kesho, na itafika kwako muda kuanzia tarehe 03 au nne kulingana na eneo ulipo. Gharama ya kufikisha nakala ngumu ni juu yako.

 

Karibu. nitumie ujumbe sasa kwenda 0755848391 ili upewe coupon hii

Godius Rweyongeza

www.songambeleblog.blogspot.com

 

IkUMBUKWE kuwa hili ni tukio la mara moja tu (one time event na wala halitajirudia tena. Changamka sasa ili usipitwe).


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X