Usirudie tena kosa hili. (Fungu la Mungu vs Fungu Lako)


 wa ya watu wanafahamu vizuri Kuwa linapokuja suala la fedha, basi wanapaswa kutoa fungu la kumi kwa ajili ya kumtolea Mungu, kulingana na imani ya mtu.

Hata hiyo, wanasahau kuwa lipo fungu la kumi la pili ambalo mtu anapaswa kujilipa Mwenyewe. Hili si la kutoa sadaka wala kumtolea Mungu kama lile la kwanza. Hili Fungu la kumi la pili sio la kula bata. Hili hapa ni kwa ajili ya kufanya uwekezaji.

Uwekezaji ambao utakusaidia kuongeza kipato. Na hatimaye kujenga utajiri na uhuru wa kifedha. 

Kwa hiyo hapo kiufupi tumeona mafungu mawili tofauti ambayo kazi zake pia zinatofautiana… Usiendelee kujikwamisha wewe!

Jipatie sasa nakala ya Maajabu ya Kuweka Akiba kwa shilingi elfu saba tu, ili kujifunza zaidi kuhusu AKIBA

Bonyeza hapa

https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_ya_kuweka_akiba

Au tuma ujumbe wenye neno AKIBA Kwenda 0755848391 sasa. 

Imeandaliwa na Godius Rweyongeza

0755848391 

www.songambeleblog.blogspot.com

MOROGORO-Tz

Tukutane kwenye jukwaa la


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X