Linapokuja suala zima la kutimiza ndoto yako moja ya kitu muhimu unachohitaji ni kujikumbusha juu ya ndoto yako mara kwa mara.
Jikumbushe ndoto yako kwa kuiandika,
Jikumbushe ndoto yako kwa kuiongea unapokuwa na watu.
Jikumbushe ndoto yako kwa kuifanyia kazi.
Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ndoto yako itatimia kama utaipa muda na kuifanyia kazi.
Kuna kitu pia nimegundua kuhusu ndoto rafiki. Asilimia kubwa ya ndoto zinahitaji sana fedha ili kutimia. Kwa kuliona hili nimekuandalia kitabu muhimu kitakachokusaidia wewe kupata rasilimali fedha pale utakapoihitaji. Hii itategemea ndoto uliyonayo.
Kitabu hiki kitakupa mbinu za kutunza fedha na KUWEKA AKIBA zitakazokuwezesha kutimiza ndoto zako.
Kipate kitabu hiki Leo hii kwa 7,000/- tu. BONYEZA HAPA sasa.
https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_ya_kuweka_akiba
Nakutakia kila la kheri kwenye kufanyia kazi ndoto zako
Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza
Mwandishi wa vitabu, mhamasishaji na mjasiliamali
0755848391
Morogoro-Tz