Mwanzoni mwa mwezi wa nane, nilianzisha utaratibu wa kukushirikisha vitabu ambavyo ninakuwa nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Na kwa mwezi wa nane nilikushirikisha vitabu nane nilivyosoma mwezi wa saba. sasa mwezi huu wa Tisa ningependa kukushirikisha vitabu vyangu 9 nilivyosoma mwezi wa saba. Bonyeza hapo chini kuangalia hilo somo.
hakikisha kwamba UMESUBSCRIBE kwenye hiyo channel yangu kwa ajili ya mafunzo yanazodi kuja.
yajayo yanafurahisha. kila la kheri
Godius Rweyongeza
Morogoro-Tz