Kwa asilimia kubwa picha na maonesho ambayo watu wanafanya kwenye mitandao ya kijamii yanakuwa sio uhalisia.
Vivyo hivyo, kwa vile unavyoviona kwenye runinga.
Kamwe usiwe kuwa mtumwa na kuigiza kila unachokiona.
Chagua aina ya maisha yako, yaishi hayo. Usiigize. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anyeishi maisha halisi na anayeigiza.
Kuna tofauti kati ya mtu anayeigiza kuwa yeye ni tajiri na tajiri😊.
Usiigize maisha.
You were born original don’t accept to die a copy.
Kuigiza maisha ni kujikataa wewe mwenyewe.