Amsha Uandishi Ulio Ndani Yako


 

Kila mtu huwa anapenda kuonesha kuwa ana kitu ndani yake. Ila njia za kuonesha huwa zinatofautiana.

Wapo ambao huchagua kufikisha ujumbe huo kwa kutumia tattoos, wengine michoro, wengine kwa kutumia nguo, na wengine unyoaji wao huwa  unaongea au huwa umebeba ujumbe.

Japo njia zote hizo na zaidi zinaweza kufikisha ujumbe kwa watu, ila maandishi yanafikisha ujumbe kwa namna ambayo ni bora na ya kudumu zaidi. 

Kinachowafanya watu waogope kufikisha ujumbe kwa njia ya maandishi, ni KWA SABABU HAWAJUI NI KWA MAMNA GANI WANAWEZA KUFANYA HIVYO .

Karibu ujipatie kitabu cha JINSI YA KUBOBEA KWENYE UANDISHI NDANI YA SIKU 30. Kitabu hiki kinaenda kufundisha njia sahihi ya kuwasilisha ujumbe kwa watu nja ya maandishi na kitabu hiki kina kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. Kitabu hiki utakipata kesho (tarehe 19) jioni.

Ukiweka oda ya kitabu leo hii, utakipata kwa elfu tano tu.

Kitabu hiki ni muhimu sana hasa kwako wewe uliyekosa nafasi ya kushiriki darasa la uandishi ambalo litaanza kesho kutwa.

Kitabu hiki kitakupa mwongozo wa uandishi ambao huwezi kuupata sehemu nyingine. 

Thibitisha na weka oda ya kitabu hiki, sasa hivi

BONYEZA👇🏾👇🏾

https://wa.me/message/DFPG3AS5DP4SI1 kuweka oda.

Kumbuka bei ya oda ni Elfu tano tu!!


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X