FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO-2


 

Kila mtu ana kipaji, kitu adimu sana kukipata kwa watu ni uthubutu wa kukifanyia kazi hicho kipaji mpaka kikaleta matokeo.

Na hata wale ambao huanza kufanyia kazi vipaji vyao, huishia njiani kwa sababu mwanzoni kipaji hakilipi na kinaonekana kama upotezaji wa muda.

Kwa hiyo nipende kukusihi uwe na melengo maalumu ambayo unayafanyia kazi kwenye kipaji chako.

Lakini pia usifanyie kazi kipaji chako kwa muda mfupi kisha ukaacha. Kipe muda na ndani muda huo endelea kukinoa zaidi ili kiweze kukulipa.

Soma zaidi; KITABU; AKILI YA DIAMOND

 

FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO-1

Pata kitabu cha AKILI YA DIAMOND ili ujifunze jinsi ya kukuza kipaji chako kutoka kwa Diamond Platinumz mwenyewe. BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X