Habari Njema Kwako Na Habari Mbaya Kwako Na Hatua Moja Unayoweza Kuchukua Sasa Ili Ujifunze Uandishi


Rafiki yangu siku sio nyingi nilikupa taarifa kuwa walikuwa wanahitajika watu watano ambao ningewafundisha kuhusu uandishi. Na kwenye taarifa hii nilikwambia kwamba watu hawa watano  nitawafanya kuwa waandishi wabobezi ndani ya siku 33 tu. Kiukweli nafasi hizi tano zimeshambuliwa kiasi kwamba tangu juzi nafasi hizi zimeisha na hivyo kama bado wewe ulikuwa unajipanga kwamba uweze kuhudhuria darasa hili hapa basi ni wazi kuwa umechelewa. Na sio umechelewa kidogo iila umechelewa sana. Hii ni habari mbaya niliyonayo kwako siku ya leo.

 

SOMA ZAIDI:  NINAHITAJI WATU WATANO, NAMI NITAWAFANYA KUWA WAANDISHI WABOBEVU NDANI YA SIKU 33

 

Hata hivyo, kuna kuna kitu kimoja unachoweza kufanya kwa haraka siku ya leo. Na kitu hiki ni kuhakikisha kwamba unaweka order ya kitabu cha JINSI YA KUBOBEA KWENYE UANDISHI NDANI YA SIKU 30. Hiki ni kitabu ambacho nitakuwa nakitumia kwenye darasa hili hapa la uandishi na wewe unaweza kutumia kitabu hiki hapa hata kama hutahudhuria darasa hili. Nina uhakika hata kama utakuwa nje ya darasa hili hapa, kitabu hiki kitakupa mwongozo ambao huwezi kuupata sehemu nyingine. Kiufupi hiki ni kitabu kuhusu uandishi ambacho huwezi kukipata sehemu nyingine na kamwe na hutakuja kupata kitabu cha aina hii kinachoeleza kuhusu uandishi Kitabu hiki kina kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi.

 


Kwa kuwa napenda wewe ujifunze kuhusu uandishi basi kitabu hiki hapa nitakupa wewe rafiki yangu kwa shilingi elfu tano (5000/) tu. Hii ni bei ya wale watakaoweka oda ya kitabu hiki haitadumu kwa muda mrefu.  Kitabu chenyewe kitaanza kupatikana rasmi siku ya tarehe 20 mwezi wa 10 (ambayo ndio siku darasa la uandishi litaanza). Ila unaruhusiwa kuanza kuweka oda ya kitabu hiki leo hii kwa kulipia 5,000/- ili siku kinapotoka uwe wa kwanza kukipata.

Kuweka oda yako leo wasiliana nami kwa namba hii hapa 0755848391 (kitabu hiki kitapatikana kwa mfumo wa nakala laini)

 

Kumbuka 5,000 ni bei ya muda mfupi tu. Hivyo, changamka kabla kitabu hakijarudi kwenye bei yake halisi. Kila la kheri.

 

Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X