Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Nafasi Ya Kuongea Na Diamond Platinumz Mwenyewe


https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond
Pata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA

 

 

Mwaka juzi nilindika makala yenye kichwa cha TOO BUSY TOWATCHA YOUR DREAM.

Katika makala hii nilieza jinsi unavyoweza kukutana na mabilionea, watu maarufu, wanamziki nguli na wengineo wengi ambao wewe mwenyewe ungependa kukutana nao.

 

Sasa siku ya leo ningependa nikuoneshe jinsi unavyoweza kukutana na Diamon platinum na mkapiga stori kwenye meza moja

Kabla sijakwambai njia hii, nipende kukutadharisha kuwa Diamond Platinumza ana ratiba zake za kila siku ambazo zimebana kiasi kwamba hata ukipata nafasi ya kuonana naye kwa ana kwa ana huwzi kukaa naye mkaongea muda mrefu au hata mkiongea muda mrefu haiwezi kuwa siku nzima. Hivyo, njia pekee na ya ukweli ya kukaa naye meza moja kwa muda mrefu na mkaongae ni kuhakikisha unasoma kitabu chake. Siku zote vitabu vinatukutanisha meza moja na watu ambao wako mbali. Na sisi tunaweza kukaa nao tukajifunza mengi kutoka kwao. Isitoshe vitabu tunaweza kutembea navyo popote pale na kurejea palea inapohitajika.

Hiki kitu ndicho kinafanya usomaji wa vitabu uwe ni wa muhimu sana.  Sasa kuna kitabu cha AKILI YA DIAMOND ambacho ndani yake kina mambo muhimu sana kuhusu msanii huyu wa kitanzania ambaye ameanzia chini na kunoa kipaji chake mpaka kufikia hatua kubwa sana. ndani ya kurasa za kitabu hiki hapa unaaenda kujifunza mambo makubwa matatu.

Kwanza utajifunza kuhusu kipaji (jinsi ya kukinoa na kukiendeleza)

Pili utajifunza kuhusu ubunifu (na jinsi unavyoweza kuufanyia kazi kwenye maisha yako ya kila siku)

Mwisho utajifunza kuhusu mafanikio.

Jipatie nakala hii hapa ili uweze kukaa meza moja na msanii huyu hapa Diamond Platimuz ili muweze kuongea.

BONYEZA  kukipata

Gharama ya kitabu hiki ni 6.000/-


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X