Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme


Wiki naendelea kusoma kitabu cha 50Cent cha Hustle Hard Hustle Smart. Hik ni kitabu cha kipekee sana na kina mafunzo mengi kutoka kwa nguli huyu wa mziki. Moja ya somo kubwa ambalo tunaenda kujifunza siku ya leo ni kufanya kazi kwa bidii. 50Cent anasema kwamba, kama kuna kitu ambacho utapaswa kufanya ni kujituma na kufanya kazi kwa bidii. inalipa sana.

50 Cent anasema sio kwamba yeye ni bora kuliko wengine wanaofanya mziki kwenye tasnia ya hiphop.anasema wapo watu wengine wenye vipaji kumzidi, wapo watu wenye konekisheni nyingi kuliko yeye, wapo pia wenye uchesi kuliko yeye. Ila linapokuja suala zima la kufanya kazi kwa bidii, basi hapo hakuna mtu mwingine ambaye anafikia nusu yake. 

Yaani, anasema kwamba anafanya kazi kwa bidii haswa. Na kitu hiki hapa ndicho kilichomfanya 50 cent aweze kupata mafanikio makubwa kwenye muziki, kwenye uigizaji, biashara na hata vipinde vya runinga.

Jifunze zaidi kupitia somo la leo youtube kwa kubonyeza hapa

Rafiki yangu kam bado hujasubscribe, ni wazi kuwa unakosa mengi. Hivyo, sasa ni wakati wako wa kuhakikisha unafanya hivyo. Bonyeza hapa

https://www.youtube.com/channel/UCRGDR3d_Pt-TeRxSlF3ORzQ?view_as=subscriber


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X