Tarehe 20 mwezi huu wa kumi tutaanza darasa maalumu la kujifunza uandishi. Darasa hili linaenda kufanyika kwa watu watano tu ndani ya siku 33. Kama unasoma hapa na ungependa kushiriki, pole sana. maana nafasi hizo tano zimeisha
Labda kuna kitu kimoja tu ambacho unaweza kufanya ili kujifunza uandishi.a na kitu hiki kinaenda kuwa na manufaa makubwa kwako. kitu hiki ni kuhakikisha kwamba unaweka oda ya kitabu cha JINSI YA KUBOBEA KWENYE UANDISHI NDANI YA SIKU 30. Hiki ni kitabu cha kipekee chenye mbinu za kiuandishi.. kwenye kitabu hiki hapa kuna kila kitu ambacho wewe ungependa kujua kuhusu uandishi.
Kitakuongoza na kukuwezesha kuandika hata kama hujawahi kuandika sentensi moja maishani mwako. Kama utaweka oda leo hii basi kitabu hiki hapa utakipata elfu tano tu (5,000) tu. ila ukichelewa baada ya hapo gharama ya kitabu itaongezeka.
Thibitisha sasa kwa kuweka oda ili uweze kupokea kitabu hiki kwa 5,000 tu.
Nitumie ujumbe sasa kwa kubonyeza hapa
https://wa.me/message/DFPG3AS5DP4SI1 ili nikupe utaratibu utakoufuta kwenye kuweka oda