
Moja kati ya mtandao wa kijamii ambao huwa siutumii sana ni mtandao wa twitter. Na vile sina app ya twitter kwenye simu yangu, naweza kukaa hata mwezi bila kujishughulisha nayo. Ila huwa inatokea siku moja moja tu naukumbuka mtandao huu na hivyo kuingia hasa ili kuposta maandiko yangu.
Sina hakika hata nimewafollow watu wangapi kwenye mtandao huu, ila mmoja wa watu ambao nimemfollow ni Bilionea wa kitanzania Mo Dewji. Sasa leo hii baada ya kuandaa somo langu la youtube niliona pia kiunzi cha somo twitter
Litazame somo lenyewe HAPA
Ile nimefungua tu kitu nilichokiona kikiwa cha kwanza ilikuwa ni post ya Mo Dewji yenye maneno hayo pichani. Mo anasema Kijana: ishu sio kuwa na hela nyingi, ishu ni kuwa na utunzaji wa hela ulizokua nazo!
Ujumbe huu kauwasilisha kwa lugha nzuri na lugha yetu haswa sisi vijana. Kwa hiyo kama wewe umekuwa unajiuliza fedha nyingi utazipataje. Kitu kikubwa unachopaswa kufahamu ni wewe kuanza kutumia vyemahizo fedha ulizonazo.
Nashauri upate kitabu changu cha maajabu ya kuweka akiba ili ujifunze matumizi sahihi ya fedha ulizonazo sasa hivi na jinsi yatakavyokusaidia wewe kupata fedha zaidi. bonyeza hapa sasa kukipata kitabu hiki
Nakushukuru sana kwa kuweza kusoma andiko hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kutengenezewa blogu yako kitalaamu tuwasiliane kwa 0755848391
kila la kheri
Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391