NINAHITAJI WATU WATANO, NAMI NITAWAFANYA KUWA WAANDISHI WABOBEVU NDANI YA SIKU 33 TU


Mwishoni mwa mwaka jana nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. 

Kwa mara ya kwanza kabisa darasa hili tuliliendesha kwa siku 66, mara ya pili darasa hili tulikuja kuliendesha kwa siku 30 tu. Waliojifunza mbinu za kiuandishi kwenye darasa hili sasa hivi ni waandishi wazuri sana.

Sasa tangu mwaka huu uanze darasa hili limeendeshwa mara moja tu mwanzoni mwa mwaka, na zamu hii tunaenda kuedesha darasa jingine moja mwishoni mwa mwaka huu kuanzia mwezi wa 10 tarehe 29. Hii ni _private writing class_ ukiwa na mimi hapa Godius Rweyongeza na kwenye darasa hili hapa ninakupa mbinu za kiuandishi ambazo hakuna kitabu, mwalimu au sehemu yoyote ile unaweza kuzipata.

Kwenye darasa hili hapa unaenda

Kujifunza kila kitu kuhusu uandishi

Utaanza kuandika (kumbuka sio tu utajifunza kuandika ila utaanza kuandika, mfumo wa darasa hili umelenga kukufanya uandike badala ya kujifunza tu, na kuna mbinu ya kukusukuma wewe kuandika badala ya kuishia kujifunza maarifa peke yake)

Utapata msaada wa karibu kutoka kwangu wa kiuandishi kwa siku 33 mfululizo. Ndio maana nasema, nahitaji watu watu watano tu, ambao nitawafanya kuwa waandishi wabobevu ndani ya siku 33 ziijazazo.

Unaweza kujiuliza kwa nini watu watano na kwa nini siku 33 tu?

Naomba sasa usogeze kiti chako karibu ili nikwambie nini kinaendelea. 

Kwanza nahitaji watu watano ambao kwangu itakuwa rahisi kuwasimamia na kufuatilia mwenendo wa kila mmoja ndani ya hizo siku 33. Ningeweza kusema watu 100, ila sasa kuwafuatilia watu 100 wote kila siku kwa siku 33 ni ngumu.

Sasa ngoja nikujibu kwa nini nimechagua siku 33 na sio siku tano au kumi au 60 au 100.

Moja ya lengo muhimu kabisa tutalifanyia kazi kwenye darasa hili hapa ni kuhakikisha kwamba unajenga tabia ya kuandika. Yaani, unaufanya uandishi unakuwa sehemu ya pili ya maisha yako.

Sasa kulingana na utafiti uliofanyika kwenye moja ya chuo kikuu Marekani, tabia mpya huwa inajengwa ndani ya siku 66. Hizi ni siku ambazo unajenga tabia mpya kiasi inafikia hatua ya wewe kufanya kile kitu kama sehemu ya pili ya maisha yako. Hata hivyo utafiti huu unasema kwamba sio kwamba tabia inajengeka siku ya mwisho, yaani siku ya 66. Kipindi hiki cha siku 66 kimegawanyika katika vipengele vitatu. Kuna siku 22 za kwanza, zipo siku 22 za pili na siku 22 za tatu. Siku za kwanza huwa ni za kuachana na tabia ya zamani.

Siku 22 zinazofuata huwa ni za kujenga misingi ya tabia mpya na siku 22 za mwisho huwa ni za kuimarisha tabia mpya.

Sasa kitu kimoja cha kushangaza ni kwamba kuna watu ambao huwa wanawahi kushika tabia mpya mapema na kuna wale ambao huwa wanachelewa. Wanaoshika tabia  mapema huwa inawachukua siku 21 au 22 tu. Ndio maana vitabu vingi vya hamasa utakuta vimeandika kuwa inachukua siku 21 kujenga tabia mpya. Ila kwa utafiti binafsi nilioufanya kwenye suala la uandishi tu. siku 33 zinatosha kabisa kumfanya mtu ambaye hajawahi hata kuandika sentensi kuwa mbobevu. Ndio maana leo hii ninasema kwamba, ninahitaji watu watano, nami nitawafanya kuwa waandishi wabobevu ndani ya siku 33. 

Sisi kwenye darasa letu tutakuwa na kitu cha tofauti. Badala ya kutumia siku 66 zilizogwanyika kwenye siku 22-22-22 tutatumia 33 zilizogawanyika kwenye siku 11-11-11.

Yaani, tutakuwa na siku 11 za mwanzo. Hizi zitakuwa za kujenga tabia ya kuandika. Baadae tutakuwa na siku 11 za pili. Hapa sasa tutaingia ndani kabisa kwenye misingi na saikolojia ya uandishi yenyewe.

 Na hatimaye tutakuwa na siku 11 za mwisho, hizi zitakuwa za kuandika andiko linalojiuza lenyewe. Ndio namaanisha andiko linalojiiuza.

Sasa kwa yeyote atayehudhuria darasa hili atapata kwanza kitabu changu kinachohusu uandishi.

Ataandika kwa kupata msaada wa karibu kutoka kwangu.

Ataungana na wengine ili kujifunza kutoka kwao na maoni yangu kuhusu maandiko ya watu wengine yatamsaidia pia kukuza uandishi wake.

Lakini pia atapata mwongozo wa uandishi (huu ni muhimu sana hasa kwa mtu anayeanza na hajawahi kuandika)

Darasa hili litaendeeshwa kwa njia ya whatasap na ili uhudhurie darasa hili hapa utapaswa kulipia elfu 50 tu. nikuhakikishie kuwa hiki ni kiasi kidogo sana, sana kulinganisha na kile unachoenda kujifunza kwenye darasa hili hapa. na fedha hii hapa bado una uwezo kuipata wakati wowote wakati darasa linaendelea au baada ya darasa  kuisha endapo utaona kwamba hujanufaika na darasa hili. Ndio namaanisha kwamba fedha yako yote utaipata, endapo hutaridhika na darasa au kupata thamani inayoendana na shilingi elfu hamsini baada ya kuwa umehudhuria darasa hili hapa.

na utaratibu wa kulipa ni kama ifuatavyo; Elfu 49 ya kwanza utailipia sasa hivi kuthibitisha kuwa unahudhuria darasa.

Elfu 1 utailipia siku ya kuanza darasa ambapo nitakupa utaratibu maalumu wa kuilipa ili ikuwezeshe kupata kupata vitabu viwili kwenye mtandao wa GETVALUE 

Vitabu hivi ni kitabu changu kinachohusu uandishi pamoja na MAAJABU YA MTANDAO WA INTANETI. Utaratibu wa kupata vitabu hivi kwa bei hiyo utapewa baada ya kuthibitisha kushiriki darasa hili.

 Kwa mwaka huu darasa linaanza tarehe 20, oktoba. Na litadumu kwa siku 33.

Chukua hatua sasa uthibitishe ushiriki wako kwa kulipia elfu 49 kwenda namba 0755848391 JINA ni Godius Rweyongeza. 

Baada ya hapo nitumie ujumbe kunitaarifu kwa namba hiyohiyo.

 Ikumbukwe nafasi ni tano tu! Zikiisha hakutakuwa na nafasi ya ziada.

Njoo ujifunze uandishi kutoka kwangu, nakuhakishia unaenda kujifunza ujuzi wa kipekee sana kwa namna ya kipekee.

Chukua hatua sasa lipia kwa 0755848391

Kila la kheri

Godius Rweyongeza

Morogoro-Tz

 Ninahitaji watu watano nami nitawafanya kuwa waandishi wabobevu ndani ya siku 33 tu!


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X