Kama njia iliyopo Sasa hivi huipendi, chukua hatua. Tengeneza njia ya kwako mpya.
Ujue kulalamika ni rahisi sana, ila hakutakuletea matokeo unayotaka na njia nzuri ya wewe kupata matokeo mazuri Ni kuyatengeneza.
Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kutengenezewa blogu yako kitalaamu tuwasiliane kwa 0755848391
kila la kheri