Ukiona mtu amefanya kitu na kukifanikisha basi ujue mtu huyo anajua kitu ambacho wewe hujui, hivyo kuwa tayari kumwuliza mbinu, kanuni, na sheria alizofuata mpaka akafanikiwa.
Ikumbukwe kuwa kuuliza sio ujinga hata kidogo. Hivyo, uliza nawe utajibiwa
Soma zaidi; Usiogope Kushindwa; Ni Sehemu Ya Kujifunza
Imeandikwa na Godius Rweyongeza,
Morogoro-Tz
0755848391