USIONGEE SANA, ACHA KAZI ZAKO ZIONGEE


 

Add caption

Kati ya mtego mkubwa UNAOWEZA kujiingiza ni mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa unajua, mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa umefanikisha kitu fulani.

Hivi ndivyo watu wengine wanafanya. Wakifanya kazi kidogo, kelele zao zinakuwa nyingi mtandaoni. Wanataka kila mtu ajue.

Sasa wewe unapaswa kuanza kufanya tofauti. Fanya kazi, zikamilishe Kisha ziache kazi zenyewe ziongee wakati wewe ukiendelea na kazi zako nyingine.

Ongea pale tu inapohitajika. Kama sio lazima basi usihangaike kuongea sana


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X