Usipokuwa makini


 

1. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa bado unahangaika na cheti kutafuta kazi mtaani

2. Utafikisha umri wa miaka 60 na kuwa ombaomba

3. Utafikisha umri wa miaka 60 ukifanya kazi usiyoipenda

4. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa unafanya kazi ili kupata mlo wa siku husika, huku ukiwa huna uhakika wa kesho.

Sasa kuanzia Leo hii Anza

1. Kuwekeza

2. Kufikiri nje ya boksi.

3. Anzisha kijibishara chako hata kama ni kidogo

4. Jenga maisha yako ya kesho kuanzia leo hii.

Kila la kheri

Hakikisha umeSUBSCRIBE kwenye YOUTUBE channel yangu HAPA

Pata vitabu vya kiswahili kwa kubonyeza HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X