FURSA NI KAMA MAJI YA MTO


 

Kuna watu huwa wanafikiria kwamba fursa zipo kwa uhaba. 

Yaani, kwamba akiikosa fursa fulani ndiyo kama amepoteza kila kitu maishani. Kiufupi maisha hayako hivyo na wala fursa haziko hivyo. 

Fursa ni kama maji ya mto yanavyokuwa yanatiririka. Wewe hapo unaenda kwenye maji hayo unachota na kuondoka, na baadaye anakuja mtu mwingine naye anachota na kuondoka na mwingine na mwingine. 

Hakuna mtu mmoja ambaye akichota maji hayo anayamaliza yote kwa pamoja. Nyote mnachota na bado yanaendelea kutiririka.

Soma zaidiHAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X