Kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kinazungumzia nini kwa ufupi?


 

Hili ni swali nimeulizwa leo, ambalo pengine na wewe unaweza kuwa unajiuliza swali hilo. 

Kiufupi, 

Hiki ni kitabu cha mafanikio. Kimezungumzia mambo 50 ya kimafanikio ila mtu wa mfano mwanzo mpaka mwisho wa kitabu ni DIAMOND PLATINUMZ.

Vitu vyote vilivyoongelewa kwenye kitabu vinaweza kugawanywa kwenye vipengele vikuu vitatu.

Kwanza ni KIPAJI (Utajifunza kuhusu jinsi ya kugundua, kunoa na kuendeleza kipaji moja kwa moja kutoka kwa Diamond Platinumz)

Pili ni UBUNIFU (utajifunza ubunifu moja kwa moja kutoka kwa Diamond Platinumz) na 

Mwisho ni mafanikio.

Haya yote yapo kwenye  kitabu hiki cha AKILI YA DIAMOND.

Karibu upate kitabu hiki kwa elfu moja tu badala ya elfu sita, ikiwa ni zawadi yangu kwako siku hii ya leo

Tuwasiliane sasa kwa 0755848391 ili upate nakala ya kitabu hiki kwa Bei hi ya zawadi.

Kumbuka utalipia elfu moja tu (1,000) na utapata kitabu chenye hazina ya maarifa yatakayokusaidia kwa miaka na miaka. Chukua hatua sasa kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X