KUWA TAYARI KULIPA GHARAMA


 

Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391

Asilimia KUBWA ya watu wanaandika kwa kutumia mkono wa kulia. Ukimwuliza anayetumia mkono was kulia kuandika, kwa nini hajatumia mkono wa kushoto? Atakwambia, siwezi. Ila ukweli sio kwamba hawezi Bali hajachukua hatua KUJIFUNZA kutumia mkono wa kushoto kuandika.

Ila ukichukua hatua na kufanya mazoezi utagundua kuwa, hate mkono wa kushoto unaweza kuandika vizuri kama mkono wa kulia.

Kumbe kwa kitu chochote ambacho ungependa kupata, kipe muda kwanza Kisha lipa gharama inayohitajika ili kukipata. na gharama hiI siyo lazima iwe fedha. Mfano, mzuri ni huo tulioona hapo juu. Mtu haitaji kulipa fedha ili KUJIFUNZA kutumia mkono wa kushoto. Ila kitu kikubwa ni utayari, muda na nidhamu ya kufanya mazoezi.

Sasa swali langu, ni je, upo tayari kulipa gharama zinazohitajika ili kufikia ndoto zako? 

Uko tayari? Gharama zenyewe unazopaswa kulipa unazifahamu?

Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO kimeeleza kwa kina kuhusu gharama sita unazopaswa kulipa ili kufikia ndoto zako.

Jipatie nakala yako leo, ili uweze KUJIFUNZA juu ya gharama hizi.

Gharama ya kitabu ni 20,000. Tuwasiliane kwa 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X