USIWE MJINGA


 

Mtu wa kukubaliana na kila kitu ambacho umesikia kinasemwa na mtu fulani. Badala yake, jijengee utaratibu wa kupembua kila kitu unachosikia ili mwisho wa siku ufikie maamuzi yako ambayo ni sahihi.

Ile ofa ya kupata kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kwa shilingi elfu 1 badala ya elfu sita inaendelea. 

Wasiliana nami Sasa kwa 0755848391 ili uweze kujipatia nakala yako.

Kumbuka, ni nakala ya kitabu cha kipekee Cha AKILI YA DIAMOND ndiyo umezawadiwa kwa shilingi elfu moja tu. Chukua hatua Sasa ili uipate.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X