Vitu Vitano Vya Kufanya Kabla Ya Mwaka Mpya 2021


 

Mwaka Mpya 2021

1. Weka malengo matano makubwa ambayo utayafanyia kazi 2021.

2. Azimia kujijengea utaratibu wa kutunza kumbukumbu za mambo yote utakayojifunza ndani ya 2020. Na ili kuwezesha hili hakikisha unanunua diary.

3. Anzisha blogu ambapo utawashirikisha vitu mbalimbali. Ubora was blogu ni kwamba ukiweka kitu leo, kitaweza kudumu kwa muda mrefu sana. Mfano, unaweza kusoma andiko langu la JANUARI MOSI 2017 HAPA au andiko la JANUARI MOSI 2018 HAPA. Ila kama andiko hili ningekuwa nimeliweka WhatsApp, Facebook au Instagram isingekuwa rahisi sana kulipata. 

Kama unapata shida kufungua blogu, basi wasiliana nami kwa 0755848391

4. Tafakari mwaka unaoisha. Nini yalikuwa malengo yako na vitu gani umeweza kufanyia kazi Kufanikisha malengo hayo. Umekwama wapi? Na je, utafanya nini ili usikwame tena 2021.

5. Amua kuwa bosi wa maisha yako. Fahamu kuwa maisha ni wajibu wako. Ukishindwa ni juu yako. Ukishinda ni juu yako pia.

Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

 Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kutengenezewa blogu yako kitalaamu tuwasiliane kwa 0755848391

kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X