WEKEZA KIDOGO, PATA ZAIDI


 

Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391

Warren Buffet aliwahi kunukuliwa akisema kuwa uwekezaji mkubwa ambao mtu unaweza kuufanya no kuwekeza  katika yeye. 

Kumbe kabla hujafikiria kuwekeza maeneo mengine, Anza kuwekeza katika wewe mwenyewe. Na moja ya njia bora zitakazokuwezesha kuwekeza katika wewe ni kwanza kujiongezea maarifa mara kwa mara. 

Tunaishi katika dunia ambayo unaweza kujiongezea maarifa kupitia vyanzo mbalimbali kama vitabu, semina, vitabu vilivyosomwa, n.k. 

Na ubora ni kuwa vingi kati ya hivi unaweza kuvipata bure au kwa gharama nafuu sana. 

Jiwekee utaratibu wa kuwekeza katika wewe. Na Kati ya vitabu muhimu unavyopaswa kusoma ili kuwekeza katika wewe ni kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Uwekezaji utaoweka kwenye kitabu hiki, utakuwa wenye manufaa makubwa sana kwako kwa mwaka ujao, miaka mitano ijayo, miaka kumi ijayo na maisha yako kiujumla. Chukua hatua Sasa. Jipatie nakala kwa gharama ya elfu 20 tu.

Tuwasiliane kwa 0755848391
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X