USIPOIOA NDOTO YAKO MUDA WA KUTOSHA

SIKU 1: Usipoipa ndoto yako muda wa kutosha, utatumia asilimia kubwa ya muda wako Kufanikisha ndoto za watu wengine.

Hivyo ni muhimu sana kuanzia leo uhakikishe unaipa ndoto yako muda. Ukiipa muda wako utakuwa na uwezo wa Kufanikisha. Usipoipa muda kuifanikisha itakuwa ni vigumu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X