Historia Ambayo Hupaswi kuiacha Hapa Duniani Ndiyo Hii Hapa


 

Ndiyo. Kuna historia ambayo Hupaswi kuiacha hapa duniani. Ile historia ya kuwa ulizaliwa jumatatu, ukaenda shule jumanne, ukahitimu jumatano, alhamisi ukaoa/kuolewa, ijumaa ukaumwa, jumamosi ukapelekwa hospitali na jumapili ukafa na kuzikwa.

Asilimia kubwa ya watu wa kawaida wamekuwa wakiacha historia ya aina hii. Historia ambayo haina kitu  chochote cha thamani ambacho kimefanyika.

Maisha ni zaidi ya kulala na kuamka. Hii ndiyo kusema kwamba Kuna kitu cha zaidi ya kulala na kuamka ambacho unapaswa kukifanya kwenye hii dunia.

Ili kuweza kufanya mambo makubwa, nakushauri usome na kufanyia kazi yale utakayojifunza kwenye kitabu changu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Kitakupa mwongozo wa kufanya makubwa.

Gharama ya kitabu hiki ni 20,000/- tu kwa hardcopy. 

Soft copy inapatikana pia (tuwasiliane kwa 0755848391)


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X