Kamwe Usichoke Kufanya Kitu Hiki


 Kamwe, 

Usichoke kujifunza kila siku. Siku utakayosema umechoka kujifunza ndiyo siku utakayoamua kufa. 

Kujifunza Kuna manufaa mengi hasa kwenye ulimwengu wa Sasa ambapo akili za watu wengi zimewekwa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa hiyo, badala ya kuweka nguvu kubwa kwenye kufuatilia mambo ambayo si ya maana, weka nguvu kwenye mambo yenye maana na hasa kujifunza. 

 Watu wakifungua mitandao ya kijamii wewe fungua KITABU na soma.

Nakuhakikishia kuwa manufaa ya kusona ni mengi kwa muda mfupi na muda mrefu pia.

Soma vitabu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X