Mambo Muhimu Ambayo 2020 Imenifunza


 Mwka 2020 umekuwa mwaka wenye mabo mengi ndani yake. yafuatayo ni machache niliyojifunza ndani ya mwaka huu.

1. anza kuwekeza mapenda na endelea kuwekeza. 

2. ukianguka chini na kupoteza kila kitu. huo ndio muda mzuri wa wewe kuanza kwa sababu hauna cha kupoteza tena maana umeshapoteza kila kitu. anza kwa nguvu na kasi mpya

3. usitawanye nguvu zako. nguvu zako zote ziweke kwenye eneo moja na hakikisha unabobea kwenye hilo eneo kabla ya kwenda kwenye eneo  jingine.

4. usiige maana hiyo ni njia ya kujipoteza.

5. dunia inatenda miujiza kila wakati kukusaidia, kuwa tayari kuipokea

nakutakia kila kheri kwenye mwaka mpya 2021


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X