Matatizo Si Tatizo: Matatizo ni Daraja by Fr. Faustin Kamugisha


 

Ni takribani miaka miwili au mitatu hivi iliyopita tangu niliposoma kitabu  cha Fr. Faustin Kamugisha cha Matatizo Si Tatizo. Nilijifunza mengi kwenye kitabu hiki kuhusu Matatizo na mtazamo unaopaswa kuwa nao kuhusu Matatizo. nlJimekuwa nikirejea kusoma kitabu hiko mara kwa mara na

Leo hii nimeona nizungumzie kidogo kuhusu kitabu hiki na unaweza kufuatilia SoMo zima HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X