Niia Bora Ya Kukamilisha Majukumu Magumu Kiurahisi


 

Ndio. Ipo njia ya kukamilisha majukumu magumu kiurahisi.na njia hii ni kuanza kuyafanya  kwa udogo ila kwa mwendelezo.

Hii itakusaidia kuanza kuyakamilisha hayo majukumu madogo kwanza, ila hayo majukumu madogo yakiunganishwa, mwisho yatakuwa makubwa na hivyo kukuwezesha kukamilisha jukumu gumu.

Kazi ya kufanya leo. Tafuta jukumu kubwa ambalo umekuwa unaliogopa. Ligawe kwenye majukumu madogo madogo. Anza kuyafanyia hayo kazi kwa mwendelezo. Utajikuta umeanza kufanya vitu vidogo vingi vitakavyokupelekea kwenye ukubwa.

kwenye channel ya youtube leo nimekuandalia somo la JINSI YA KUDANDIA TEKNLOJIA MPYA, lifutilie. Hakikisha pia umesubscribe kwenye channel hii.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X