Zig Ziglar amewahi kunukuliwa akisemakwamba hamasa ni kama kuoga. ukioga leo ni lazima utaoga na kesho. hamasa pia haidumu. ukijihamasisha leo unapaswa kujihamasisha na kesho.
kwa njia bora ya kujihamasisha wewe mwenyewe kila siku ni kuhakikisha unatafuta njia zitakazo kufanya ukae na hamasa
kama
kukaa na marafiki chanya na wenye ndoto kubwa
kama kusoma vitabu
kusikiliza mziki unaokuhamasisha
kusikiliza mafunzo yanahamasisha
kutembea mazingira ya asili n.k
hakikisha hauishiwi na hamasa. tumia njia hii ya kujihamasisha kila siku ili uweze kubaki na hamasa
kila la kheri