Inawezekana Kuna watu wenye kipaji kizuri kuliko wewe, hilo lipo nje ya uwezo wako. Hata hivyo hakuna mtu ambaye anapaswa kufanya kazi kwa bidii na kukuzidi (kufanya kazi kwa bidii kupo ndani ya uwezo wako)
Kufanya kazi kwa bidii kutakutoa hata kama huna kipaji kikubwa.
Fanya kazi kwa bidii.
SOMA ZAIDI: ACHA UTAPELI WEWE? Hivi Ndivyo Unaweza Kuondoka Kwenye Mtego Wa Kujitapeli Mwenywe Maishani Mwako
ANGALIA VIDEO HII HAPA: Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme
Hakikisha umesubscribe kwenye channel yangu ya youtube kwa kubonyeza HAPA
2 responses to “FANYA KAZI KWA BIDII”
Sawa
[…] FANYA KAZI KWA BIDII […]