Ifuatayo ni orodha kamili ya vitabu vyangu vyote


 Ifuatayo ni orodha kamili ya vitabu vyangu vyote. Ni kitabu gani ambacho hujasoma? Chagua kimoja ukipate kwa punguzo la asilimia 20 leo ikiwa ni siku valentine. 

Hivi vya kwanza ni hardcopy👇👇

1. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO (20,000). (Hardcopy)

2. Kutoka sifuri MPAKA KILELENI (10,000) (hardcopy)

 Hivi vingine Ni soft copy👇👇

3. Nyuma ya ushindi Kuna kushindwa, kushindwa, kushindwa (5,000)

4. AKILI YA DIAMOND (6,500/-)

5  Mambo 55 ya Kuzingatia kabla ya KUANZISHA BISHARA (6,500)

6. JINSI YA kuibua ubunifu ulio ndani yako (7,000)

7. MAAJABU ya kusoma vitabu (5000)

8. MAAJABU ya kuweka akiba (7,000)

9. MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA (5,000/-)

10. JINSI ya kuwa mwandishi mbobevu ndani ya siku 30 (6,500)

11. Makosa 10 wanayofanya wakulima na jinsi ya kuyaepuka ili kutengeneza faida zaidi (10,000)

12. Tofauti 50 Kati ya matajiri na masikini (5,000)

13. Barua ya wazi kwa wazazi na walezi wa watoto (5,000)

14. Sekta 12 Za Kutengeneza Mamilioni Ya Fedha Tanzania

15. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (volume 1) 10,000/-

16. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (volume 2)

Godius Rweyongeza

0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X