Inawezekana Kama Utaamua Kujitoa MzimaMzima


Si unajua kila mtu huwa ana vipaji vyake vya kipekee. Kuna watu ambao huwa wanaamua kuvitumia vipaji hivi. Huku wengine wakivizika vipaji hivi.

Kitu kikubwa kwako, unapaswa kutumia vipaji vyako kiasi kwamba siku ukiaga dunia uwe unashangilia kuwa ulitumia kila kitu ulichokuwa nacho bila kubakiza kitu.

Soma Zaidi: KONA YA SONGA MBELE; Zaeni Mkaongezeke.

Subscribe kwenye channel yangu ya YouTube kwa KUBONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X