Mwaka 2021 unapaswa kuwa mwaka wako ambao utafanya vitu vya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi ya kufanya ili mwaka wako uweze kuwa wa kipekee.
1. Usiongee sana tenda Sana.
2. Usiingie Sana kwenye mitandao ya kijamii
3. Hakikisha unapata muda wa kutafakari kila siku
3. Panga siku yako unapoamka
4. Kila siku jioni jiulize ni kitu gani kizuri umefanya
5. Usishiriki umbea
5. Andika walau ujumbe mfupi kila siku kwa rafiki yako ili kumshukuru rafiki yako au mtu yeyote ambaye amewahi kukusaidia
6. Tabasamu haswa
7. Weka lengo la wiki na hakikisha unalifanyia kazi kila siku