Muda Mzuri wa WEWE kuanza KUjifunza UWEKEZAJI


 hivi umewahi kujiuliza ni muda gani mzuri wa wewe kujifunza kuhusu uwekezaji. je, pale unapokuwa mdogo au pale unapokuwa mkubwa. je, ni pale unapokuwa na fedha au pale unapokuwa huna fedha.

kukna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka kumi iliyopita, ila muda mzuri zaidi wa wewe kupanda miti ni sasa. upandaji wa miti ni uwekezaji. kwa hiyo muda mzuri wa wewe kujifunza uwekezaji ulikuwa ni pale tu ulippata ufahamu na kuanza kutambua mambo, ila kama hukupata mtu wa kukufundisha basi anza sasa. anza sasa hata kama hauna fedha. usitegemee kwamba ukipata fedha ndiyo utakuja kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. hapana, jifunze uwekezaji sasa hivi hata kama hauna fedha, pale utakapopata fedha, hii itakuezesha wewe kupata maarifa sahihi. na kitabu kizuri kwako kuanzia kujifunza kuhusu uwekezaji ni kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI na VIPANDE


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X