Mwalimu Mazumila Asema Kitabu Cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako Kimegeuka Kuwa Baraka Kwake


JINSI Ya Kufikia Ndoto Zako ni kitabu kimoja ambacho kimeendelea kuwa msaada mkubwa kwa watu. Mpaka sasa asilimia kubwa ya watu waliokosoma kitabu hiki mwaka 2020 wanasema kimekuwa ni kitabu bora Sana. Mmoja watu hao ni Edius Katamugora ambaye unaweza kusoma maoni yake kuhusu kitabu hiki HAPA.

Mwalimu Mazumila naye amekisoma na haya hapa ndiyo anayosema

Kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO:Kesho Yako Iko Mikononi Mwako.Kilichoandikwa na mwandishi nguli Ndg.GODIUS RWEYONGEZA.

Ni kitabu cha aina yake ambacho hautakiwi kukikosa. Kwangu kimekua cha baraka sana na kimekua ni kitabu Bora kwa mwaka 2020.

Rafiki yangu mpendwa, kwa kweli kitabu hiki si cha kukosa.HAUTOBAKI KAMA ULIVYO.

 

Kama unavyoona, mwalimu Mazumila na wengine wengi wanaendelea kunufaika na kitabu hiki. Pengine sasa ni zamu yako kufanya hinufaika ndani ya mwaka huu mpya 2021

Binafsi sina cha kuongeza zaidi ya hayo aliyosema mwalimu Mazumila, labda tu kukusihi tuwasiliane ili na wewe ujipatie nakala yako.

Karibu

Umekuwa nami,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA

HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA
Hakikisha umesubscribe kwenye YouTube Channel Yangu Ya Youtube Kwa Kubonyeza Hapa


One response to “Mwalimu Mazumila Asema Kitabu Cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako Kimegeuka Kuwa Baraka Kwake”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X