Kama wewe una mpango wa kuwa huru kiuchumi. Anza kuweka akiba kidogo kidogo hata kama utakuwa unaenda taratibu kuliko ambavyo ungetamani, ila kwa kuwa hiyo akiba unaiweka, Basi jua kuwa upo kwenye njia nzuri ya KUELEKEA mafanikio makubwa. Kinyume chake pia Ni sawa. Kama wewe Ni tajiri na kila siku unatumia kiwango kikubwa cha fedha kuliko unavyongiza. Upo kwenye njia ya umasikini pia.
Soma Zaidi: Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine
Karibu
Umekuwa nami,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA
Hakikisha umesubscribe kwenye YouTube Channel Yangu Ya Youtube Kwa Kubonyeza Hapa