2. MAKE YOUR BED review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA


Ni wazi kuwa watu wengi wnapenda kufanya mambo mengi kwenye hii dunia. wanataka kuleta mabadiliko na wengine wana ndoto kubwa sana. ila kitu ambacho watu wengi wamekuwa hawajui ni jinsi gani unaweza kufanya mabadiliko kenye maisha yako. kwenye uchambuzi wa kitabu cha leo tunaenda kuona vitu tisa kutoka kwenye kitabu hiki cha MAKE YOUR BED. Kitu cha kwanza kabisa kutoka kwenye kitabu hiki tunaenda kuona kwamba, kama unataka kuibadili dunia, basi anza kwa kutandika kitanda chako

https://youtu.be/0OYbz3QVIig

SUBSCRIBE

LIKE 

SHARE

COMMENT


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X