4. THE FOUR AGREEMENTS book review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA


Karibu sana kwenye uchambuzi wa kitabu cha Four Agreements kilichoandikwa na Don Miguel Ruiz. Hiki ni kitabu bora kinachoeleza maagano manne ambayo huwa yanafanyika maishani.  Watu wengi hufanya maagano haya bila kujua na huwa yanawaumiza sana.

Mwandishi anaanza kitabu hiki hapa kwa kueleza domestication kubwa ambayo imewahi kufanyika hapa duniani. Itakushangaza sana, siyo ya wanyama kama unavyoweza kufikiri wala siyo ya kiumbe chochote  bali ni ya kwetu  mwanadamu.

Ebu bonyeza hapa kujua zaidi.
https://youtu.be/pFPdVzELKm0

Baada ya hapo mwandishi anatueleza agano la kwanza ambalo ni neno. anaanza kueleza agano hili kwa kueleza maana ya dhambi na lini unakuwa umefanya dhambi au hujafanya. utashangaa kuona kilichomo humu kwenye kitabu.

Rafiki yangu, kama kuna kitu kimoja naweza kukwambia ni kuwa fuatilia uchambuzi huu, na hakikisha unasoma kitabu chenyewe kwa muda wako.

https://youtu.be/pFPdVzELKm0

kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X