Hii Ni Zawadi Ambayo Inadumu Milele


Siku ya leo napenda tu kukwambia zawadi moja ya kipekee ambayo najua unayo ila  pengine umekuwa hauitumii vyema. ni zawadi ya familia. familia ni zawadi ambayo unayo na inadumu milele.  hivyo, ni jukumu lako kuhakikisha kwamba unaitumia vyema zawadi hii.

Hakikisha kwamba unapokuwa na wanafamilia wako mmnafurahia kuwa pamoja
waambie wanafamilia wako kwamba unawapenda.
kama kuna kitu ungependa warekebishe ili waweze kuwa na maisha bora usisite pia kuwaambia. familia ni zawadi, tena zawadi inayodumu milele. itumie vyema zawadi hii hapa
SOMA ZAIDI:
nakutakia siku njema
umekuwa nami
Godius Rweyongeza (+255755848391)
karibuni sana.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X