Ijali sana fedha yako


 Ijali sana fedha yako, usiwe mwepesi wa kuitumia baada ya kuipata. 

Na hata unapoamua kuitumia, usiitu ie kwenye mambo ambayo si ya msingi. Jitahidi kuiwekeza fedha yako ili kukupa fedha zaidi hapo baadaye.

Kamwe, usikimbilie kuitumia hovyo fedha yako kwa sababu tu, ipo. 

Ukiitumia hovyo, unaweza kulia hapo baafhapo baadaye kwa sababu tu ya kuitumia vibaya.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X