Maeneo Matano Unapopaswa Kukaa Kimya


Tumepewa mdomo na masikio mawili. Mara nyingi hiki kimekuwa kinatumiwa Kama kiashiria cha kuwa tunapaswa kuwa wasikivu.  Kuna mazingira ambayo wewe unapaswa kuwa kimya na usiongee sana. Sasa siku ya leo ninakuletea maeneo matano ambapo wewe unapaswa kuwa mkimya.

Moja, kama unaona mtu unayeongea naye hakupi nafasi ya kuongea.

Pili, pale unapoona mtu anaweza kukuelewa bila ya kuongea maneno mengi.

Tatu, unapoona ubishi umeanza kunyemelea maongezi yenu.

Nne, unapoona unachoenda kuongea hakiongezi thamani kwako au kwa yule unayeongea naye.

Tano, pale unapoona maongezi yanaenda kubomoa badala ya kujenga.

Hayo ni maeneo muhimu sana ambapo  unapaswa kukaa kimya. Usiongee sana. Naomba ifahamike kuwa kuongea pia kunatumia nguvu. Hivyo, kukaa kimya kinakusaidia wewe kutunza nguvu zako ambazo zitakusaidia sehemu nyinginezo hapo baadaye.

Kila la kheri.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X