Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu


 

Najua! Unaanza kujiuliza inawezekanaje kupata laki tano ndani ya dakika 5 tena kwa kutoa elfu tano tu? Huu si mchezo wa upatu huu? Sasa naomba ukae chini ili niweze kukueleza hapa.

Kwanza fahamu kuwa huu siyo mchezo wa upatu. Bali unaenda kutoa shilingi elfu tano na kupata kitu chenye thamani ya laki tano na utakipata ndani ya dakika 5 tu baada ya wewe kutuma fedha zako. Hii ni zaidi ya win-win. Ndiyo maana nikasema, nipe elfu tano nikupe laki tano ndani ya dakika 5 tu.

Sasa labda bado unajiuliza ni kitu gani utakipata ukilipa hiyo elfu tano sasa? Kiufupi ukilipa elfu tano utapata kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Hiki ni kitabu cha kipekee sana chenye Mambo ya kipekee ndani yake yatakayokusaidia WEWE kuzifikia ndoto zako. Ukikithaminisha kitabu hiki, thamani yake ni zaidi ya laki tano lakini wewe leo huendi kulipa you’re. Utalipa elfu tano tu. Ndiyo maana ninasema Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu.

Ninajuaje kuwa kitabu hiki kina mambo yatakayokusaidia WEWE hapo?
Ninajua hivyo kwa sababu kuna watu ambao wamekisoma na tayari wamethibitisha kuwa walichosoma kwenye kitabu hiki kimekuwa msaada mkubwa kwao.

Dada Mary alikinunua na kukisoma kitabu hiki  mwishoni mwa mwaka jana,  na akawa  na haya kusema,

Godi hiki kitabu kwangu ni kitabu bora kwa mwaka huu. Binafsi ninaenda kuwanunulia watu wengine watano kitabu hiki.

Na ukweli ni kuwa tayari ameshanunua vitabu sita na kuwapa wengine kama zawadi ili na wao waweze kufikia NDOTO ZAO.

Ukiachana na Mary, Kuna mwandishi Edius Katamugora ambaye pia amekisoma na baada ya kukisoma aliandika mengi kuhusu kitabu hiki ila kauli moja kutoka kwenye kile alichoandika ni hii.

…mwandishi wa kitabu hiki ameandika kwa uzuri na ubora wa juu mbinu na namna mbali mbali za kuzifikia ndoto zako

.

Naye Mwalimu Mazumila kutoka Dodoma amekisoma na anasema;

Ni kitabu cha aina yake ambacho hautakiwi kukikosa. Kwangu kimekua cha baraka sana na kimekua ni kitabu Bora kwa mwaka 2020.

Labda unaweza kujiuliza hiki kitabu cha kipekee kina nini ndani yake?

Kitabu hiki kina sehemu kuu tatu.

Sehemu ya kwanza inazungumzia UMUHIMU WA NDOTO NA CHANGAMOTO ZINAZOZUIA WATU KUFIKIA NDOTO ZAO.

Sehemu ya pili imeeleza kwa kina JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO na

Sehemu ya tatu na ya mwisho imepewa kichwa cha HIVI NDIVYO NILIVYOTIMIZA NDOTO ZANGU.

kwenye sehemu hii hapa utakutana na mifano hai ya watu waliotimuza NDOTO zao, vitu vya kujifunza kutoka kwa hawa watu na hatua za wewe kuchukua.

Kitabu hiki kina jumla ya sura 16. Kila sura inaanza kwa nukuu ambayo ndiyo sasa inakupeleka moja kwa moja kwenye sura husika.

Dibaji ya kitabu hiki imeandikwa na Kocha Dr. Makirita Amani

Kiufupi kitabu hiki kina thamani ya zaidi ya laki 500,000+ ila sasa wewe hutapaswa kulipa yote hiyo. Lipia 5,000/- tu na upate nakala hii ya kipekee sana. Ndiyo maana nasema Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu.

Na ukilipia kitabu kitatumwa kwako ndani ya dakika 5. Ndiyo maana nakwambia  Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu.

Kwa hiyo sasa, Cha kufanya sasa tuma elfu tano kwenda 0755848391 ili kupata nakala ya kitabu hiki kikashani kwako ndani ya dakika tano tu.

Ukimaliza kutuma nitaarifu ili upate kitabu chako kwa wakati. Kumbuka elfu tano inatumwa kwa namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.

Nipe Elfu tano, Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X