Njia Tano Za Kuingiza Fedha Mtaani Kwako Kuanzia Leo


Habari ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikuletee njia tano za haraka zitakazokufanya wewe kuanza kuingiza fedha kuanzia leo hapo mtaani Kwako.

1. Angalia kitu ambacho watu wanalalamikia sana kisha kifanye vizuri kwa kuondoa tatizo wanalolalamikia watu.

2. Tafuta sehemu yenye tatizo kisha litatue hilo tatizo.

3. Anza leo kufanya biashara ya mtaji mdogo sana hata kwa elfu moja. Mfano, unaweza kununua nusu au robo ya karanga kisha ukauza hizo, na baada ya hapo ukaendelea kufanya hivyo zaidi.

4. Ungana na watu wenye bidhaa, kisha wasaidie kuuza bidhaa zao Leo na wakulipe kamisheni. Mfano, unaweza kuuza vitabu kwa njia ya affliate marketing leo na ukapata kamisheni yako

5.  Fanya kazi kwa kutumia nguvu zako Leo na ulipwe.

Hizi hapa ndio njia tano zitakazokufanya ulipwe leo leo. Chagua moja, Kisha Anza kuifanyia kazi. Fanyia kimojawapo ili upate fedha ya kula, kuweka akiba au hata kuwekeza.

Kula la kheri.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


kila la kheri




Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X