Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ni rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Siku ya leo nimeona nikuletee ushauri murua kabisa kutoka kwake ambao Nina hakika utakusaidia sana wewe.
Mheshimiwa anasema kwamba, kama unataka kula lazima ukubali kuliwa. Hii ndiyo kusema kwamba huwezi kupata vinono kama hujakubali kuhenyeka kwanza. Ukitaka cha uvunguni sharti uiname. Lazima ukubali kulipa gharama itakayokuwezesha wewe kupata unachotaka
Kiufupi, hakuna vya bure, kubali kulipa gharama ili upate unachotaka.
Makala nyingine inayohusiana na hii.
Ushauri wa Aliko Dangote Kwa Kijana Anayetaka Kuanzisha Biashara
Kula la kheri.
Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391
Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391
kila la kheri