Chagua kitu kimoja hapa


 Mwezi wa sita ndio huu umefika, nikusaidie nini?

1. Kuanzisha tabia ya kusoma vitabu itakayodumu

2. Nikusaidie uanze kuandika kitabu chako

3. Kujijengea tabia ya kuweka akiba hata kwa kuanza kidogo.

4. Kuachana na uraibu wa mitandao ya kijamii

5. Kuachana na uraibu mwingine.

6. Nikusaidie ujenge tabia ya kufanya mazoezi

7. Kuanza kutengeneza fedha kupitia mtandao wa intaneti

8. Kuamka mapema

9. Kingine…(kitaje)

Njoo inbox sasa kupitia 0755848391 hakikisha unazitumia hizi siku 30 zilizobaki kumalizia ngwe ga kwanza 2021 vizuri.

Kila la kheri

GODIUS RWEYONGEZA

MOROGORO-TZ 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X