HIKI NDIO KIPIMO KIZURI CHA UKOMAVU, NA KIASHIRIA KUWA UTAFANIKIWA SANA


 

Moja ya kipimo Cha ukomavu ni uwezo wa wewe kushughulika na matatizo, CHANGAMOTO na vikwazo unavyokumbana navyo.

Hiki ni kitu muhimu sana kwenye maisha.

Maana siku zote, ushindi mkubwa hutanguliwa na vikwazo. Hata hivyo, washindi wanajua siku zote kuwa kushindwa au kuanguka siyo kitu ambacho KINAPASWA kuwakwamisha badala yake kikitokea ndio inakuwa chachu yao kusongambele na kufanikisha makubwa.

Kuna watu ambao wamekutana na changamoto na kukata tamaa kumbe pale looh, hawakuwa mbali na mafanikio. Hii inaashiria kuwa wakati mwingine usikate tamaa, badala yake kuwa tayari kushughulika na vikwazo vitokeavyo.

Nakushauri ujipatie nakala ya kitabu cha NYUMA YA USHINDI kuna kushindwa, kushindwa, kushindwa.

Kwenye kurasa za kitabu hiki hapa  nimeeleza kwa kina jinsi ambavyo na wewe unaweza kupambana na vikwazo mpaka ukashinda. Ndio maana kitabu kinaitwa NYUMA YA USHINDI kuna kushindwa, kushindwa, kushindwa.

Hii ndiyo kusema kwamba hakuna mafanikio yanayokuja ukiwa umelala tu. Badala yake nyuma ya mafanikio yoyote kuna vikwazo ambavyo utakutana navyo. Ila vikwazo hivi vitakuimarusha zaidi na zaidi endapo utakuwa tayari kuvifanyia kazi.

Gharama ya kitabu hiki ni shilingi elfu tano tu . Tuma fedha kwenda namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.

Ebu chukua hatua sasa.

Kila la kheri.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X