JIHAMASIHE MWENYEWE


 

Kila mara jihamasishe MWENYEWE kufanya kazi au kitu fulani. Usisubiri mpaka hamasa itokee ndio ufanye kitu. Kuna siku nyingine unakuwa hauna hamasa ila bado unapaswa kukifanya HICHO kitu.

Moja kati ya kazi yako kubwa kujihamasisha mwwnyewe. 

1. Jihamasishe MWENYEWE kwa kuandika malengo yako kila siku na kujikumbusha kwa nini wewe unapaswa Kuyafikia.

2. Jihamasishe MWENYEWE kwa kusoma vitabu.

3. Jihamasishe MWENYEWE kwa kushukuru kwa kila hatua unayochukua maishani mwako na kushukuru kwa kile ulichonacho.

4. Jihamasishe MWENYEWE kwa kuanza kufanya kile ulichopanga kufanya. Muda mwingine hamasa huwa inakuja kwa kufanya kitu siyo kwa kutulia.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X